Sisi ni nani

Tovoti ya mazungumzo ya Imani ni moja ya tovoti za kamati za Ulinganio (Daawa) za elektroniki za Jumuiya ya Al-Najat ya mambo ya kheri ya nchini Kuwait.

Tovoti ya mazungumzo ya Imani inalenga kuwa ni jukwaa la kuufahamisha Uislamu kupitia mtandao wa Internet kulingana na mafundisho ya Ahli Sunna Wal-Jamaa.

 

E-Dawah Committee Al-Najat Charity Society